Chewing gum
Yesterday i had an interview and i was tensed so my friend advised my to chew gum to relax a bit na pia kuexercise my brain muscles.
So nikanunua hizi big square ones za yellow nikatafuna nikingoja niende mbele ya panel.
So mwishowe niliitiwa nikasukumiwa maswali kibao hadi zikanipata offguard.
Sitting position nilikuwa kwa board room nikiwaface 5 of them. Nilishtukia nimetoa gum nikastick chini ya table.
Ukienda interview please usichew gum hadi niliona mwingine akisema kudhulumu monkey hio pia apana